Ukikua imaginations zako zita_improve. Unadhani pete ya ndoa ndo inazuia kutongozwa? Mtu anakutongoza kwa kuanza na 'mumeo hajambo? Wanao wanasoma wapi?'
utampa jamaa nafasi zaidi ya kuendelea kumtongoza mkeo ili uone 'yield limit' yake....
Baeleze King'asti tena ukivua pete soko linashuka wengi hovyo siku hizi yanataka kulelewa eti!
Naanza na kubinua meza na vyote vilivyopo juu yake viwamwagikie kisha ndo tuingie kwenye mahojiano.
Mie mwenyewe sitongozi mwanaume asie na pete, manake pete ni ishara ya kuweza majukumu!
Yaani usipokuwa na pete unatongozwa na wakaka wa hovyooo! Shosti wangu alijinunuliaga pete akajivalishia kwa sonara! Akaopoa mwanaume wa abroad (mganda, fafa flani hehehe). Wanaprocess divorce, ila nayo no hatua,lol

Hivi utajisikiaje kuwa na mwanamke asietongozwa? Badala ujisifie kwa kumiliki mke anaetolewa macho? Mpe jamaa ofa akanywee mezani kwake, awapishe!
Umetoka nyumbani na mkeo, bahati mbaya mkeo kasahau pete yake ya ndoa. Mnafika mahali mmekaa we simu ikaita ukatoka kidogo kwa sababu ya kelele uliporudi ukakuta kuna jamaa anamtongoza mkeo, halafu mkeo unamuona anajing'atang'ata vidole tu huku anakutizama. Halafu jamaa unamsikia anazidi kubembeleza kwa sauti ya upole ya mahaba. utajisikiaje, utachukua hatua gani!!.
Karibu unifanyie uhakiki.King'asti hapa umenichanganya hivi we ni Me au Ke au umejisahau kama una ID mbili za jinsia mbili tofauti.?