Utajisikiaje?

Utajisikiaje?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,120
Endapo utakutwa na hali hizi:
  1. Umeingia katika ofisi au nyumba ya mtu na muda tu mwenyeji wako anapuliza air freshener?
  2. Unaongea na mtu nayeye anaziba mdomo na pua yake kwa mkono au na leso?
  3. Unafika katika nyumba ya mtu na kukuta rundo la viatu kizingitini?
 
1. Unanuka jasho invest in deodorant
2. Unanuka mdomo, piga mswaki 3x a day au onana na dentist kuna ugonjwa kwa kunuka kinywa
3. Kuna mwaliko, mean more guests in the house na vua viatu kabla hujaingia.
 
huo ndio ukweli.............ila nilitaka kujua utajisikiaje?
 
  1. Umeingia katika ofisi au nyumba ya mtu na muda tu mwenyeji wako anapuliza air freshener?
Nitajua jamaa ananiheshimu sana kiasi kwamba hataki niendelee kupata harufu mbaya ya ndani kwake
  1. Unaongea na mtu nayeye anaziba mdomo na pua yake kwa mkono au na leso?
Nitajua maongezi yangu yamemkera sana hivyo anataka kujiua, nitamzuia haraka maana kitendo hicho chaweza kupelekea kifo si unajua ukiziba pua na mdomo huwezi kupumua?

  1. Unafika katika nyumba ya mtu na kukuta rundo la viatu kizingitini?
Nitajua ana wageni wengi ndani
 
loh huyo mwenyeji ustaarabu ni zero
naaga na kuondoka zangu
 
Back
Top Bottom