Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
1. Unanuka jasho invest in deodorant
2. Unanuka mdomo, piga mswaki 3x a day au onana na dentist kuna ugonjwa kwa kunuka kinywa
3. Kuna mwaliko, mean more guests in the house na vua viatu kabla hujaingia.
ishawahi kukukuta nini?
Nitajua jamaa ananiheshimu sana kiasi kwamba hataki niendelee kupata harufu mbaya ya ndani kwake
- Umeingia katika ofisi au nyumba ya mtu na muda tu mwenyeji wako anapuliza air freshener?
Nitajua maongezi yangu yamemkera sana hivyo anataka kujiua, nitamzuia haraka maana kitendo hicho chaweza kupelekea kifo si unajua ukiziba pua na mdomo huwezi kupumua?
- Unaongea na mtu nayeye anaziba mdomo na pua yake kwa mkono au na leso?
Nitajua ana wageni wengi ndani
- Unafika katika nyumba ya mtu na kukuta rundo la viatu kizingitini?
huo ndio ukweli.............ila nilitaka kujua utajisikiaje?