Utajiskiaje kama ni wewe?

Joined
Oct 17, 2011
Posts
80
Reaction score
16
Uko ktk relationship na mtu(a lady),anasema anakupenda sana,pia anakuchukulia kama mume wake mtarajiwa
Lakini;anaweza kukaa wiki nzima bila kukujulia hali licha ya wewe kumjulia,anaweza kupiga simu au sms kwa watu wengine lakini mzito kukuandikia wewe,wakati mwingine ukimuuliza unaendeleaje,no reply,anaweza kuwatembelea watu mbalimbali,lakini kukutembelea wewe ni kwa msimu,ukimuuliza anakwambia yuko bize,time will come where we will be together forever.jiweke wewe ktk position hiyo,mtazamo wako ungekuwaje kuhusu uhusiano huu
 
Binafsi sijaviona viashiria toshelevu vya kumaanisha kuna penzi hapo.
 
Uko ktk relationship na mtu(a lady),anasema anakupenda sana,pia anakuchukulia kama mume wake mtarajiwa
Lakini;anaweza kukaa wiki nzima bila kukujulia hali licha ya wewe kumjulia,anaweza kupiga simu au sms kwa watu wengine lakini mzito kukuandikia wewe,wakati mwingine ukimuuliza unaendeleaje,no reply,anaweza kuwatembelea watu mbalimbali,lakini kukutembelea wewe ni kwa msimu,ukimuuliza anakwambia yuko bize,time will come where we will be together forever.jiweke wewe ktk position hiyo,mtazamo wako ungekuwaje kuhusu uhusiano huu
 
Bwana mimi sina cha kukushauri, kwani mimi ni muumini mkuu wa mawasiliano. Hakuna shughuli ambayo itanikosesha sekunde 5 za kukuandikia kitu kama "luv u".

Na nina imani kila mtu anapenda kujua kuwa anapendwa. So ni ubinafsi tu wa mtu! Believe me, my man pamoja na sometimes kuona kama namchoke, nikikaa kimya for a day anamiss hivyo vijilines.
 
Nitajiskia pouwa tu maana na mimi nitaangalia ustaarabu wangu ili kujipa faraja kwa nafasi.
 

tafakari chukua hatua mkuu toka fasta usisubiri kutolewa nduki usije na post zingine za kutendwa maana ndio unaelekea..
pole sana mkuu..
 
Mbona umeweka mathread mawili kunanyingne naiona inazurura iremove bhana
 
Pole sana..hapo huna chako ndugu yangu. Jipange tu upya uanze kivyako. Siku zote jitahd kujitambua na uone km uliposimama ndipo panapostahili.
 
you a right Kaunga, nafkiri SELFISHNESS ktk mahusiano ni kitu kibaya sana,communication pia ni muhimu kuimarisha mahusiano,otherwise ni kuumizana bila sababu ya msingi, LOVE IS MUTUAL,EQUALLY SHARED,UKITANGULIZA MAMBO YAKO,UNAHARIBU
 
sorry guys,nimeshindwa kuremove hii thread, thread ya kuchangia ipo kule juu,anayeweza kunielekeza namna ya kuremove hii thread itakuwa poa
 

Umejaribu kumuuliza kwanini anakufanyia hivyo?
 
hebu mrushie mavocha ya kutosha (sio za jero jero teh teh teh) halafu usikilizie tena..
 
Nitajckia vbaya kwan,Mapenzi ni mawasiliano,kujuliana hali,kutaniana,kuchekeana kulia na kutabasam pamoja,..kwa kifupi kuwa pamoja kihisia na kushirikiana katika kuleteana furaha,kujuana na kusomana tabia ili mtambuane.sasa anachofanya mwenzio,siyo.
Mueleweshe how u feel,asipojirekebisha,chukua a new step 2find urhappines,maisha mafupi haya,stress za nini na hatujui tuendako?
 
Jiangalie binafsi,may b unamboa na some tabia.Msichana akiona hivyo.anakuacha mapema.huelewi tu.Na wewe binafsi,hayo mambo hapo juu unamfanyia ambayo yeye hafanyi?.Usilalamike tu.
 
mkuu watu wapo tofauti, wengine reserved, wengine wanapenda kuongea na kuwa karibu wengine ni wakimya na sio outgoing.., kutokukupiga simu au kukutembelea in itself haimaanishi kitu..., LABDA :-
  • labda anakupenda she is playing hard to get
  • labda anakupenda anaona una-move too fast na hataki kuwa karibu sana usimchakachue
  • labda anataka commitment kwa mtu na sio urafiki utakaopelekea casual issues
  • labda you have nothing to talk yet (na yeye sio mtu wa small talk) hao anaokuwa anaongea nao wana issues au wanaongea mambo yanayowaunganisha
In short all those LABDA's zinaonyesha ningefeel poa tu (kutokana na mtu alivyo) ningemchukulia kama alivyo labda kama kutokupiga simu kunaendana na mengine, kama hakutembelei wewe mtembelee (what's wrong with that) unless kama ukienda hakupokei na anakupa cold shoulder (then you should worry)


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…