Kwani zipo?dawa ya nguvu za kiume unayo wewe mwenyewe jinsi unavyoi-tune mind yako...mnadanganywa na sijui tope la Kongo hakuna lolote na kuna siku huyo mnyama atashindwa hata kustuka kwa sababu mnaisugua sana misuli ya uume.
La maana fuata ushauri wa dactari kuhusu hiyo dose kama inaruhusiwa poa. Wenye matatizo wafanyeje? Kumbuka mwanaume, unaona neno ume?? Mwanaume ni pale!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.