Utajuaje anakupenda?

Kama unampenda na una malengo nae kaa nae chini mzungumze kwa uzuri na kutaka kujenga ndoa yako tarajiwa
 
Moyo wake upo mbali nawe hajakupenda bado ila inaonesha wewe umempenda, ila tumia muda wa kukaa naye mweleze hisia zako na unahitaji upendo toka kwake
 
Ufundi bado ni kigezo kidogo sana kukufanya umuweke ndani
hapo unaenda kukidhi haja zako za kimwili kwa uhakika ulio nao
fanyia vigezo vya wife material kwanza
 
Endelea kwanza kumchunguza nadhali dalili ushaanza kuziona! Hakupendi huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…