Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Wengi tumekua tukilalamika kuhusu Vifaa tunavyotumia vingi ni feki 😁, Tena ile feki pro max yani iliyopitiliza, Sasa utajuaje hii Airpods ni feki au original ? Makala hii ni yako 👋
Ukiangalia kwenye hii picha😃 sio rahisi kujua ipi ni feki na ipi original sio 👇
Utofauti wa Airpods halisi (original) dhidi ya feki ni kwenye;
⚙️ muundo Kwani halisi Zina muunganiko usio na mshono kabisa, inatoa sauti Bora kwa hali ya juu, ikiwa na Serial namba ambazo ukiweka kwenye tovuti ya apple , Samsung au kampuni zingine zinatambulika.
⚙️ Feki sasa, huwa na ubora wa chini sana kuanzia muunganiko wake hauna mshono kamili, sauti zake ziko chini mdundo usio na ubora, pia hauna apple feature yani uwezo wa kupata update au kuunganisha na mifumo mingine autom
atic.