Utajuaje kama Airpods zako ni bandia na halisi?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240


Wengi tumekua tukilalamika kuhusu Vifaa tunavyotumia vingi ni feki 😁, Tena ile feki pro max yani iliyopitiliza, Sasa utajuaje hii Airpods ni feki au original ? Makala hii ni yako πŸ‘‹



Ukiangalia kwenye hii pichaπŸ˜ƒ sio rahisi kujua ipi ni feki na ipi original sio πŸ‘‡



Utofauti wa Airpods halisi (original) dhidi ya feki ni kwenye;
βš™οΈ muundo Kwani halisi Zina muunganiko usio na mshono kabisa, inatoa sauti Bora kwa hali ya juu, ikiwa na Serial namba ambazo ukiweka kwenye tovuti ya apple , Samsung au kampuni zingine zinatambulika.





βš™οΈ Feki sasa, huwa na ubora wa chini sana kuanzia muunganiko wake hauna mshono kamili, sauti zake ziko chini mdundo usio na ubora, pia hauna apple feature yani uwezo wa kupata update au kuunganisha na mifumo mingine autom
atic.



 

Attachments

  • Screenshot_20241204-184248_Instagram.jpg
    291.3 KB · Views: 6
Kuna bwege mmoja wale wa mtandaoni alipigiwa simu akasema anazo mali kweli tsh ngapi unauza 350k sawa njoo nazo sisi tuko hapa kwa mwingira jeshini.........akasema sawa .........kuja nazo tukafungua mimi ndio nilikuwa tester wa mziki ......babu ile fake haina mdundo wala sijui kupiga nikamwambia babu hii ni junjwa akasema hapana labda kama umeona na kusikia tofauti ...............akapewa 3000 ya bolt tukamwambia jichenge ............kuna mwana ana duka lake pale jirani na dar tech maisha supermarket..........akasema utalipa 500k mzigo kaka mzigo ulikuja original ile ya marekani kabisa................yaani zile dubwasha zipo mpaka leo huu kama mwaka wa 3 sasa .........yule mwamba maua yake .........zinapiga ile balaaa..........
 
Nawe unamention vitu ambavyo havipo, mwandishi nae ni muongo, originality ya earphone haipimwi kama hivi.

Mchina anakupa unachotaka kulingana na pesa Yako, so huwezi sema earbud Haina bass basi ni feki, unakuwa muongo, j
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…