Utajuaje kama chuo unachosoma kinatambuliwa na Serikali?

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,374
Reaction score
1,201
Habari zenu wakuu, jamani kuuliza si ujinga naomba kuuliza hivi utakitambuaje kama chuo unachosoma au unachotaka kusoma kama kimesajiliwa na NACTE na certificate yake utayopata toka hapo haitakusumbua ukitaka kuapply kwenda ngazi nyingine ya elimu au kuomba kazi?

Mana kimsingi kuna chuo cha private kiko mbeya nimepata nataka kwenda kusoma diploma ya kilimo kinaitwa Ilemi polytechnical college katika kufanya kwangu uchunguzi kukihusu nimegundua kua hiki chuo kilishawahi kufungiwa na serikali kisa hakitambuliki.

Kwa upande wa kozi hiyo ya kilimo wanayoitoa sasa wandugu nina wasi wasi huenda tatizo bado hawajali solve ingawa ukiwauliza wahusika wanasema tayari washarekebisha sasa isije ikawa mwamba ngoma anavutia kwake hivyo msaada wakuu please kabla sijafanya maamuzi ya kwenda au lah!!
 
privates nyingi ziko hivyo,hawasemagi ukweri.sote ni mashahidi,kuna baadhi ya shule za private hudanganya watu hasa wahitimu wa kidato cha nne na kufeli kuwa wakirudia form 2 wakaendelea hadi form 4 watafanya mtihani huo wa form 4 kama school candedates.matokeo yake wakifanya usajiri wa mitihani namba zao za mitihani hazirudi wanabaki kupoteza tu muda.hivyo nakushauri kama huna uhakika na hicho chuo,tafuta kwingine.vyuo ni vingi vya private na vya uhakika vilivyo chini ya nacte.
 
Ni hivi details zote vya vyuo vilovyo sajiliwa zinapatikana kwenye website ya nacte na tcu ila wengi huwa hatusomi walakufuatilia humu. Pia kuna course nyingine hazitambuliki hata kama chuo kimesajiliwa hizo detail za course piha zinapatikana humo. Vyuo vikuu asilimia 90 program zao za diploma hazitambuliki na serikali hivyo inakuwa hata tabu kuendelea au kupata kazi ukisoma huko so tujotahidi kuwa waangalifu na hilo
 
Mkuu murugu nilijaribu kupekua pekua huko hata kukiona sikukiona pia niliona vyuo vichache sana au labda mimi ndo sikuangalia vizuri au nilitakiwa ni search wapi msaada plz
 
Last edited by a moderator:

Ulikuwa wahitaji kujua habari ya vyuo vipi kama ni nacte kwenye home page yao kuna list ndefu na you can easly search by name region na kadhalika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom