UTAJUAJE KAMA MAMA YAKO NI MTANZANOA?

UTAJUAJE KAMA MAMA YAKO NI MTANZANOA?

simba songea

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2016
Posts
1,498
Reaction score
1,216
Ni pale unapomkopesha hela afu tarehe ya kumdai ikifika utasikia...
Kwani hichi chakula unachokulaga unalipia wewe au nadaigi? ?
 
Na atakwambia pia..mpaka hapa ulipofikia unajua umetumia hela zangu kiasi gani mbona mimi sikudai.... Hapo unakuwa mpoleee
 
Utamdaije mzazi ?! Labda akichukua akiba yangu niliyomuwekesha akampa mtu mwingine !! hapo ntamdai
 
Umemaanisha mama yako wa kambo au aliyekuzaa,kama wa kambo utamdai vizuri tu ila aliyekuzaa usijaribu utajajichumia laana bure.wewe miaka hiyo anakusafisha mavi na kamasi alishawahi kukudai hata cent?
 
Akiniambia nikopeshe, nampa lakini simdai.

Akinipa mwenyewe nachukua
 
Back
Top Bottom