simba songea JF-Expert Member Joined Feb 8, 2016 Posts 1,498 Reaction score 1,216 Sep 17, 2017 #1 Ni pale unapomkopesha hela afu tarehe ya kumdai ikifika utasikia... Kwani hichi chakula unachokulaga unalipia wewe au nadaigi? ?
Ni pale unapomkopesha hela afu tarehe ya kumdai ikifika utasikia... Kwani hichi chakula unachokulaga unalipia wewe au nadaigi? ?
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,654 Sep 17, 2017 #2 Hutakiw kumdai mzazi Toa km unavyotoa kanisani
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 17, 2017 #3 Na atakwambia pia..mpaka hapa ulipofikia unajua umetumia hela zangu kiasi gani mbona mimi sikudai.... Hapo unakuwa mpoleee
Na atakwambia pia..mpaka hapa ulipofikia unajua umetumia hela zangu kiasi gani mbona mimi sikudai.... Hapo unakuwa mpoleee
Hechinodemata JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 1,488 Reaction score 3,338 Sep 17, 2017 #4 Mmh haya bwana
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 15,989 Reaction score 22,078 Sep 17, 2017 #5 Utamdaije mzazi ?! Labda akichukua akiba yangu niliyomuwekesha akampa mtu mwingine !! hapo ntamdai
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,171 Reaction score 15,760 Sep 17, 2017 #6 Umemaanisha mama yako wa kambo au aliyekuzaa,kama wa kambo utamdai vizuri tu ila aliyekuzaa usijaribu utajajichumia laana bure.wewe miaka hiyo anakusafisha mavi na kamasi alishawahi kukudai hata cent?
Umemaanisha mama yako wa kambo au aliyekuzaa,kama wa kambo utamdai vizuri tu ila aliyekuzaa usijaribu utajajichumia laana bure.wewe miaka hiyo anakusafisha mavi na kamasi alishawahi kukudai hata cent?
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,323 Reaction score 3,143 Sep 17, 2017 #7 Akiniambia nikopeshe, nampa lakini simdai. Akinipa mwenyewe nachukua