Eligibility itatangazwa kwenye vyombo vya habari?
Mimi nilichomuelewa mleta mada ni kuwa itachukua muda gani kwa yeye kuona zile YES au NO
Mleta mada..kama una uhakika una vigezo vyote vya kozi zote ulizochagua,ondoa mtero kabisa baada ya muda zote zitakuwa YES..Tatizo ni kama umechagua ambapo ushindani ni mkubwa na wewe matokeo yako ni ya kawaida,machaguo ya mwisho au hata second round inaweza kukuhusu

Mkuu @ze herby hiyo second round inaweza ikawa after tarehe31 au?
Kuandikiwa yes siyo ishu ni kuwa selected na chuo alichochagua,anaweza akaandikiwa YEs na asipate nafasi,
itakuja second round ambayo huwa wanatangaza,
unakua na option moja tu,
chuo na course atakayochagua ndo atakayopata.
Nayo kama itakua haijajaa.