Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ili ujue kwasasa upo JF basi lazima ukutane na mambo haya;
° Kila member ana maisha mazuri
° Members wote wana degree na kuendelea
° Wengi wetu tunafanya kazi ofisi nyeti serikalini
° Hakuna anayetumia tecno, wote tunatumia Samsung, Iphone nk
Endeleza na wewe sifa za wana JF