Utajuaje kuwa ukaribu wenu ni zaidi ya 'urafiki'?

Ishu hyo hta mimi ilinikuta,...kilichofata kila mtu alimwacha alienae na kuwa wamoja..na tupo kwenye matayarisho ya ndoa.so inatokea ila kwa bahat nasibu
 

ashadii sio mumewe ila baba yake! Yalishakwisha nasikia anaolewa hv karibuni kilichonijia akilini ni kuwa alikuwa ananitumia..why? Coz alikuwa very jealous km nin na hakutaka simu isiwe hewani mi ujinga wangu sikuwa great thinker wakati huo nikapendwa nami nikapenda=nikajikuta nimelipuliwa...
 

yani unazunguka mtu hajakupenda moyoni lakini at the same time anaenjoy ukaribu wako kwake na ma care...wanaume wakishajua utokomea kizani na wengine mpaka biff
 
unaweza kuniita old fashioned lakini ndio maana mimi huwa nasisitiza hakuna kitu kama urafiki wa karibu baina ya jinsia mbili tofauti (i mean best friend thing). Hiyo kitu lazima mwisho wa siku mmoja wapo imzidi, imenitokea sana tu.






nakubaliana nawe 100%
 
One thing i know ni kua if you have a great guy friend na mkaingia Uhusiano wa Mapenzi... You loose more than you gain for guys as friends are really good and reliable.... He is always there for you... Sometimes kuliko hata Mpenzi wako....



Ni kweli AD,
 



Usidanganyike hata siku moja kwani mwanamke anaweza kuwa jealous ingawa hajapenda kitu ambacho hakitokei kwa mwanaume.
 
Wanaume hawana normal friendship. Mkiwa karibu wao wataweza mengine tu, iko siku atakutongoza tu.
 
Wanaume hawana normal friendship. Mkiwa karibu wao wataweza mengine tu, iko siku atakutongoza tu.

na hakuna uhusiano wa mwanamme na mwanamke wenye ukaribu alafu isiwe malove...lakini sio wanaume wote hutongoza ovyo wengne mpaka waone green light ndo anajilipua...lakini nyie waovu una mwonyeshea midalili lukuki kumbe haupo wala nini? Kifuatacho? Bifu
 
kuna jamaa yangu alikuwa na rafiki wa kike,baada ya muda jamaa akahisi dada kamkolea kutokana na dalili za wivu akiwa na wasichana wengine,kupigiwa simu,kufuatwa rum. Jamaa akajilipua aafu akatoswa zaid ya mara tatu ila msichana akawa anamuambia anafurahia kampan yake ila hawawezi kuwa wapenzi. Kilichokuwa kinamuuma jamaa washkaj walikuwa wanachakachua yule dada na taarifa zinamfikia wakati yy ametamani mzigo na ananyimwa. Cku moja alimbana angle demu na msichana akaona hachomoki ikabidi amweleze ukweli jamaa. Kumbe dada alikuwa muathirika na anatumia doz ila hakutaka kumrisk mshkaja coz alimthamini sana. Mshkaji anamheshimu na kumjali yule dada kuliko hata mkewe.
 

inauma sana unapokuta wenzako wanabeba mzigo aafu ww anapenda muwe marafiki wa kawaida.
 
Unaweza kuniita old fashioned lakini ndio maana mimi huwa nasisitiza hakuna kitu kama urafiki wa karibu baina ya jinsia mbili tofauti (I mean best friend thing). Hiyo kitu lazima mwisho wa siku mmoja wapo imzidi, imenitokea sana tu.


hapo mimi nakubali kabisa, mambo ya mwenza wangu kuwa karibu sanaa na jamaa eti ni rafiki tu uwa siamini. sababu naamin ktk hiyo red.
 
umuache mtoto wa kike na rafiki wa kiume, alaf age 17-20 unategema nini kitaendelea hapo.? Hata mimi sikubaliani na hiyo concept.
 

duh! Jamaa angeendelea kung'ang'ania angepotea.
 

Changa la macho hilo, huyo dada alikuwa ham-feel Jamaa akaona njia nzuri ni kumzuga kwamba ana ngoma...
Too sad kwamba mshkaji aliingia kingi kirahisi hivyo 🙁
 
Thanx,,,,,,,nimependa those stages,inawezekana i passed through bt sikua nazijua
 
Nakubaliana na Ashadii kwenye suala la reliability, ni kweli wanaume huwa more reliable as friends kuliko as lovers na sababu ziko wazi. (Da Asha naomba unisaidie hapa.......maana naona uvivu sana kutype). Kwa upande mwingine, wanawake as friends huwa hawako reliable sana kama ambavyo huwa kama wapenzi (Msinishambulie ni opinion tu)

halafu Mammamia hapo kwenye red sisi hatusemi haiwezekani kuwe na urafiki bali tunasema haiwezekani kuwe na ubest. (Yaani unajua ule urafiki ambao rafiki anajua kila kitu, hata kama una mipango ya nje kwenye ndoa yeye anajua) Hii huwa ni ngumu sana, na lazima mmojawapo imshinde, mark my words.
 
Dah! acha na mimi nitoe ushuhuda kuonesha kuwa ni kazi jinsia 2 kuwa reliable friends.

Miezi 5 iliyopita hapa aliletwa msichana na rafikiye wa kiume ili nimsaidie kuprint.
Wakati printing naendelea na story ziliendelea.
Wote wawili ni spansh speakers so jamaa akaniomba nimfundishe yule rafiki yake Kiingereza bila kuwaza mara mbili nilimwambia haina shida angeweza kuja anytime rum kuanza class.

Then baada ya class kadhaa mtihani ulifika(English proficiency test) lakini dada huyu hakwenda kufanya mtihani nikamuuliza kulikoni akasema hakuwa tayari.

Jioni yake akaja na rafiki yake wakiniomba niwe nawafundisha Kiingereza,oohh nilishangaa !nikahisi kuna kitu kinatafutwa cha ziada na washkaji wakaniambia malizia hiyo ngozi nyeupe hafu ipotezee.

Nikaangalia usawa nikaona anataka long lasting relationship,lakin sikumtokea,tena nikampotezea ,ndipo marafiki zake wakanipasulia kuwa napendwa lakini nilijitahidi kuwaeleza wakamweleze kuwa mimi sina mpango naye lakini hajaelewa mpaka leo na alishaeleza wazi kuwa yy anapenda vitu vya kiafrica.

Kwa bahati mbaya kwa sabau zangu za msingi sikutaka kuwa naye.

Mpaka hivi sasa hataki hata kuniona.Kumbuka kisa ni ni class ya kiingereza
 
hii mada ni hatari sana

naona hapa nisiseme kitu....'wanasema 'kudeclare interest" kisha kuna "conflict of interest"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…