Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
-Ni pale unapo mkopa hela alafu uki mdai.... Ana kuuliza chakula unacho kulaga humu ndani uwa unalipia..?
Huyo mbongo
-Ni anapo kuachia kazi alafu anaenda na remote kazin.......usisubiry kuambiwa
-nipale unapo aga kwenda kwa rafik ako kupiga story alafu anakuuliza iv Lin uyo rafik ako amewah kuja kwenu....... Huyo hajahamia bongo
Nipale anapo kuuliza kama chakula alicho kupakulia kinatosha ukisema hapana ana kwambia kapike mwenyewe...... Huyo wakwetu
Ni pale unapo wekewa nguo za a in a mbili za jumapil na zakushindia sasa jikute nunda ushindie za jumapil utajuta kwa hayo makofi.......mama huyo wahapahapa
Nipale unapo sahau kumsalimia asubuh alafu ana kusalimia yeye shkamoo.... Ohoo kaa mbali kwa mda huo..... Huyu haina haja ya kuulizia anatokea wapi
Nipale anaposinzia huku mnaangalia tv na hatak mbadilishe channel.....huyu wahapahapa......
Nipale unapo kuwa store alafu anakuita jikoni alafu anakwambia nenda kanichukilie mwiko store..... Na huyu niwaambie anatokea wapi..
Kuna Vyombo vingine anavitoa tuu wakija wageni..... Haaahaa ni mama usimuulize utaifa huyu unakosea
Ni pale unavo rud kwenu unamwambia umeshika upili darasan anakuuliza wa kwanza anavichwa vi wili??..... Yupo kweny list ya wamama wabongo...
Sasa unataka kujua serikali ina mkono mrefu @Dokoa nyama udakwee!!!!!!!!!
Utamuona trump kwenye mwembe .....