Utajuaje matairi ya gari lako ni kwa ajili ya maeneo ya baridi?

Utajuaje matairi ya gari lako ni kwa ajili ya maeneo ya baridi?

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
273
Reaction score
249
Habarini wadau,

Nimenunua gari used kutoka japana mnamo mwezi wa 5, mpaka sasa nimetembea km 700, sijabadilisha tyres, ninataka niende safari ya mkoani kuna mtu akaniambia itabidi nibadilishe tyre niweke mpya kwasababu tyre gari iliyokuja nazo yawezekana ni kwa ajili ya maeneo ya baridi.

Tyre zenyewe ni SEIBRLING SL101 2017.
 
Habarini wadau nimenunua gari used kutoka japana mnamo mwezi wa 5, mpaka sasa nimetembea km 700, sijabadilisha tyres, ninataka niende safari ya mkoani kuna mtu akaniambia itabidi nibadilishe tyre niweke mpya kwasababu tyre gari iliyokuja nazo yawezekana ni kwa ajili ya maeneo ya baridi.
Tyre zenyewe ni SEIBRLING SL101 2017.

Soma tyre kwa pembeni angalia kama limeshapitisha muda wake wa kitumika.

Ila cha msingi usicheze na maisha yako badili tyre tu uwe na uhakika kabisa.
 
Habarini wadau,

Nimenunua gari used kutoka japana mnamo mwezi wa 5, mpaka sasa nimetembea km 700, sijabadilisha tyres, ninataka niende safari ya mkoani kuna mtu akaniambia itabidi nibadilishe tyre niweke mpya kwasababu tyre gari iliyokuja nazo yawezekana ni kwa ajili ya maeneo ya baridi.

Tyre zenyewe ni SEIBRLING SL101 2017.

Na baskel nilikuwa natembea 450km hadi 480km per month wewe kilometa 700 toka mwezi wa tano na hiyo safari ndefu unayosema si ajabu ni 80km
 
Madereva wa IT wanaendesha Magari kutoka DAR mpaka Malawi, Zimbabwe,Congo na Zambia bila shida na wanafika Salama alafu na mwendo wao ni mdundo mwanzomwisho.
angalia hizo tairi zako ziko Hali gani au nenda Kwa mafundi azicheki
 
Hizo tyre ni za mwaka gani?
Kwenye izo tyre kuna sehemu wameandika grade ya temp kama ni B au C usiende nazo mikoa yenye joto sana
 
Mkuu bila shaka ni IT naomba connection walau hata gari moja kwa mwezi natanguliza shukran
Mkuu mimi napiga mishe zangu ila some weekend napataga dili za kupeleka gari Tunduma
 
Back
Top Bottom