Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 249
Habarini wadau nimenunua gari used kutoka japana mnamo mwezi wa 5, mpaka sasa nimetembea km 700, sijabadilisha tyres, ninataka niende safari ya mkoani kuna mtu akaniambia itabidi nibadilishe tyre niweke mpya kwasababu tyre gari iliyokuja nazo yawezekana ni kwa ajili ya maeneo ya baridi.
Tyre zenyewe ni SEIBRLING SL101 2017.
Habarini wadau,
Nimenunua gari used kutoka japana mnamo mwezi wa 5, mpaka sasa nimetembea km 700, sijabadilisha tyres, ninataka niende safari ya mkoani kuna mtu akaniambia itabidi nibadilishe tyre niweke mpya kwasababu tyre gari iliyokuja nazo yawezekana ni kwa ajili ya maeneo ya baridi.
Tyre zenyewe ni SEIBRLING SL101 2017.
Tena vijiwe nongwa 😀Story za vijiweni zinaudhi sana.
Mkuu bila shaka ni IT naomba connection walau hata gari moja kwa mwezi natanguliza shukranWatu tunasafirisha magari kila weekend na tunasafiri na matairi yaliyokuja na gari, acheni uoga, kama tairi ni mpya chapa mwendo
Mkuu mimi napiga mishe zangu ila some weekend napataga dili za kupeleka gari TundumaMkuu bila shaka ni IT naomba connection walau hata gari moja kwa mwezi natanguliza shukran