Utajuaje mwajiri anapokata PAYE (TAX) anawasilisha TRA?

kilio

Senior Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
100
Reaction score
127
Mim ni Mtanzania pekee nafanya kazi katika kampuni ya kihindi lakini imetokea nje. Kapuni hii ilishinda tenda ya kutengeneza mfumo katika taasisi ya serikali. Kutokana na changamoto kati ya yeye na taasisi ya serikali, mambo siyo mazuri.

To be honest project inahitaji mtaji mkubwa sana na technical man power kufikisha lengo... Taasis ya serikali imejitahidi kusimama kidete kuhakikisha mkandarasi anafata scope of project. kufikia lengo lakini MKANDARASI hajafikia kwa mda wa miaka 4 sasa.

Nilifanya upelelezi wangu nikagundua aliweka Payroll operator kampuni ya muhindi mwenzake hapa Tanzania imfanyie Payroll kwa ajili ya mimi local.

Nikajiuliza hii kampuni yangu inawezaje kuwasilisha PAYE kwa TRA bila kuwa imesajiliwa TRA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…