walo mbali na bahari inakuwaje? HahahaNgoja wajuvi waje,
ila kuna mtu aliwahi kunambia kuwa kama nguo yako inachuja basi ichukue ukaichovye kwenye maji ya bahari na haitochuja tena...
Sasa sijui ni kweli
Zipo zisizochujaHakuna nguo isiyochuja,,sema kuna kuchuja kwa viwango tofauti
Nguo nyingi za cotton kasoro nyeupe zinachuja. Ila kuchuja ndio kunatofautiana, zenye kiwango kuchuja kwake hakupotezi ile rangi halisi kwa muda mfupi, zinachukua muda mrefu sana.Hii mikasa inawapata watu wengi sana,
Pale unapoinunua nguo nzuri kabisa na kufika nayo nyumbani,
kimbembe unakipata wakati wa kuifua, Unakuta rangi yote inachujuka na nguo kupoteza ubora wake wa kimuonekano.
Okay Naomba tubadilishane ujuzi wa jinsi ya kuitambua nguo inayochuja kabla ya kuinunua,
na kipi ukifanye endapo utakuta nguo yako inachuja...?
Polyester na materials kama hizo hazichuji, ila cotton za rangi mbali na nyeupe zinachuja hata OG. Tatizo lingine bongo nguo zinafuliwa sana,kila ukivaa inabidi ufue sasa kama nguo zenyewe tatu mpauko unakuhusu.Zipo zisizochuja
U nail t.......Polyester na materials kama hizo hazichuji, ila cotton za rangi mbali na nyeupe zinachuja hata OG. Tatizo lingine bongo nguo zinafuliwa sana,kila ukivaa inabidi ufue sasa kama nguo zenyewe tatu mpauko unakuhusu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Viroba umevipatia wapi? Si vimepigwa marufuku?
MHakuna nguo isiyochuja,,sema kuna kuchuja kwa viwango tofauti
Nafikiri unashindwa kufautisha kuchuja na kupauka...Hakuna nguo isiyochuja,,sema kuna kuchuja kwa viwango tofauti
Kuchuja ni nn na kupauka ni nn? Tuanzie hapo ndio tuje kwa nguo nyeupeNafikiri unashindwa kufautisha kuchuja na kupauka...
Kuna nguo hazichuji mfano nguo nyeupe inachuja nini ?