Utajuaje nguo inachuja kabla ya kuinunua?

Kumbe hata wewe hujui?
Nimesoma kwa shauku kubwa kumbe umeleta kilio sio faraja haha! Everything is stunna
 
Binafsi mimi huwa nikienda kununua jeans hizi huwa nakuwa na leso nyepesi zile...nkifika nakiweka mate kidogo alafu nasugua kwenye nguo husika, lazima kitatoka na rangi tu. Ivo tu yan
 
Kumbe hata wewe hujui?
Nimesoma kwa shauku kubwa kumbe umeleta kilio sio faraja haha! Everything is stunna
Najua sana, ila nahitaji maoni ya wengi,
mimi njia nlokuwa natumia ni kwenda kuiweka kwenye maji ya bahari na kuianika...
 
Kitu simple sana tazama rangi kuanzia chini ya miguu na magoti utafauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…