M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,358 Reaction score 5,783 Sep 22, 2021 #41 Timu kubwa jengeni basi ka uwanja ka mazoezi na sio kutanga tanga kwenye viwanja vya shule ya msingi vyenye nyasi kavu (Carlinhos shahidi).
Timu kubwa jengeni basi ka uwanja ka mazoezi na sio kutanga tanga kwenye viwanja vya shule ya msingi vyenye nyasi kavu (Carlinhos shahidi).
N nguruka wa kig0ma JF-Expert Member Joined Jan 16, 2020 Posts 2,946 Reaction score 2,932 Sep 23, 2021 #42 Nyonzo bin mvule said: Hili halipunguzi machungu ya kutolewa club bingwa Africa raundi ya kwanza na miaka minne bila ubingwa,, endeleeni kuishi kwa matumaini kama mko angaza Click to expand... Ninyi mlikosa ubingwa mara ngapi? Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Nyonzo bin mvule said: Hili halipunguzi machungu ya kutolewa club bingwa Africa raundi ya kwanza na miaka minne bila ubingwa,, endeleeni kuishi kwa matumaini kama mko angaza Click to expand... Ninyi mlikosa ubingwa mara ngapi? Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app