Utajuajekama amecheat!!

Kuna software siku hizi mwenye mahitaji aniPM!
 
shost hebu nidokeze ukijua utafanyaje ?

huyo nitakaemkuta nae hanihusu hata kidogo, nakula sahani moja na mr, yaani ishu za kusema cjui ni mume wake anamtia aibu mie cnaga hizo mana na yeye atakuwa amenitia aibu cha kutosha, cna jibu la haraka haraka kwasasa lakini kwa akili yangu ninavyoijua lazima nitaharibu haswaaa.
 
Mi kama mwanamke ametoka kumegwa najua kabisaaaa niliwahi mwache Mjengo hivi hivi kesha chojola kila kitu mimi nikamwambia umetoka kumegwa akabisha si unajua nina software mikononi nikajaribisha nikabaini nilivaa nguo zao nakuanza mbele.
mmmh
 
I didnt think about this, huh
 
KM ni mwanamke akirudi muwahi kabla hajaenda kuoga ingawa najua atakuwa kaoga huko huko kama alimegewa guest, kama ni cha fasta fasta basi kabla hajaingia kuoga mwambie avue pant yake achuchumae km dk 10 hivi lazima uji udondoke chini hahahahahahaah
OMG, what for?
 
Iwa mnaongea tu lakini maamuzi mazito kama ya wanaume kwakweli hamuwezi fanya be honest zaidi utamnyima chakula cha usiku ataanza kumega nje kwa spare tyre.

wewe nawe unadhani wanawake wote wa type yako, uoga uoga mwingi , kutojiamini na mambo kibao yacyo na faida, chakula hanyimwi lakini cku hiyo atajuta kwanini alinichumbia...
 
wewe nawe unadhani wanawake wote wa type yako, uoga uoga mwingi , kutojiamini na mambo kibao yacyo na faida, chakula hanyimwi lakini cku hiyo atajuta kwanini alinichumbia...

Hahahahaha luv najua mkwala tu huu huna ubavu wa kumtimua wala kumpiga.
 
Na hakutizami usoni siku hiyo, anajishtukia sana. Kama game litakuwepo siku hiyo linakuwa na utofauti kulingana na siku zote (aidha liwe chini ya kiwango au juu sana kukupumbaza usifikirie)

Na ni mawili awe mpole sanaa au mchangamfu sana yaani anajichekesha
 
Nyie mnacheza tu...miaka ya nyuma nilikuwa na cheat na mke wa mtu, mitaa ya kati....tulikuwa tunakutana Lamada Hotel, kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne anaoga anaenda kazini na kusingizia foleni sijui gari ilikuwa garage....mumewe atahisi vipi na mama saa 10 yuko home?
 
Mi kama mwanamke ametoka kumegwa najua kabisaaaa niliwahi mwache Mjengo hivi hivi kesha chojola kila kitu mimi nikamwambia umetoka kumegwa akabisha si unajua nina software mikononi nikajaribisha nikabaini nilivaa nguo zao nakuanza mbele.

huyo kimeo huyo, hakuna cha software wala nini, akiwa anajitambua hutakaa ugundue.
 
Reaction za watu waliotoka kucheat ndio zinawafanya wenza wao wawajue. Yaani kama umemsoma mwenzi wako unajua tu kama amecheat haina mjadala.

Kwanza hata huyo mama mume wake alikuwa anamstahi tu lazima alijua coz huyo mama lazima alikuwa anajielezea sana kuhusu hiyo foleni hiyo ni dalili tosha ya uongo
 
mbona simpo na ndio maana walioligundua hili walikuwa wanapendelea kuoga pamoja na kila siku hakikisha unakagau mashine yake kwanza kama kaduu atakuwa na wasiwasi yaani kujiamini kunapungua wee iangalie mashine yake kama dk 2 bila kumuuliza kitu halafu mwangalie machoni kila siku badilisha staili kama unataka staili nyingine niulize ukiona kujiamini kumepungua atatafuta visingizio vya kutokuoga na wewe msisiste ni lazima kuoga pamoja. ila kumbuka siku zote ukitafuta kujua kama aanatoka nje pia uwe na ujasiri wa kuvumilia utakapogundua anatoka nje na pili kama unatafuta kufumania lazima utafumania jitahidi tu umwamini mwenzio na kutokuwa na mawazo kama hayo kwenye akili yako utaishi kwa raha kama huna mambo ya msingi ya kuwaza basi jitafutie hata vijaridi vya udaku ujisomee badala ya kuaa na kuanza kumuhisia mwenzio vibaya kwanza utaweka kwenye mawazo na utamkaribisha hata na shetani ayathibitishe mawazo yako na utakuwa kama unamuwish mwenzio mabaya
 
KM ni mwanamke akirudi muwahi kabla hajaenda kuoga ingawa najua atakuwa kaoga huko huko kama alimegewa guest, kama ni cha fasta fasta basi kabla hajaingia kuoga mwambie avue pant yake achuchumae km dk 10 hivi lazima uji udondoke chini hahahahahahaah

nyie bwana, kumbe ndivyo mnavyojidanganya? kama anajua kuoga narudia tena kama anajua kuoga hakuna kitakachotokea na kuna matumizi ya condom pia.
 
KM ni mwanamke akirudi muwahi kabla hajaenda kuoga ingawa najua atakuwa kaoga huko huko kama alimegewa guest, kama ni cha fasta fasta basi kabla hajaingia kuoga mwambie avue pant yake achuchumae km dk 10 hivi lazima uji udondoke chini hahahahahahaah

Labda jamaa kama alipiga machine bila condom, ur scenario will then work.
 
Hahahahaha luv najua mkwala tu huu huna ubavu wa kumtimua wala kumpiga.

cwezi kumtimua labda atimuke mwenyewe, kumpiga pia cwezi lakini nitamtia aibu kwa namna moja au nyingine ambayo itakuwa kichwani kwa wakati huo, ni lisukuma limepanda hewani lakini kasheshe yangu anaijuaga.
 
ni ngumu sana kulitambua limtu linali cheat eti jamani....
 
huyo kimeo huyo, hakuna cha software wala nini, akiwa anajitambua hutakaa ugundue.

wewe hakuwa kimeo wala nini kwa taarifa yako ni matawi ya juu lakini nilimshtukia niambie kama alisahau kukamulia ndimu au limao nitakuelewa luv.
 
wewe hakuwa kimeo wala nini kwa taarifa yako ni matawi ya juu lakini nilimshtukia niambie kama alisahau kukamulia ndimu au limao nitakuelewa luv.

jamani luv na wewe imebidi nicheke tu, anakamua hayo makitu ili iweje? mnato...khaa, hiyo kitu sio rahic kushtukia jamani luv, haya bac hebu niambie ulishtukiaje? kitu kilikuwa kimetepweta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…