...kuna wale wanaojitetea na mapeeema wakiingia tu nyumbani/chumbani ati, "...mgongo unaniuma leo!", wengine husingizia kichwa almuradi tu usiwaguse!...
Kwa wanaume unaweza jikuta mheshimiwa anakamua povu tu siku hiyo badala ya nusu kikombe cha kahawa kama ilivyo kawaida...
All in all, kila mtu anajijua udhaifu wake na wa mwenzake baada ya tendo hilo la ndoa,..mwenzio aki cheat siku hiyo utamgundua kwa jinsi anavyojishuku... mfano; kama macho yake hurembuka siku hiyo atajidai taa inamuumiza macho,.. au atajitia mishughuliko kutafuta kisichotafutika almuradi kuua soo au kupunguza maswali...
mwingine atavulia nguo bafuni ajichunguze weee... au ajipulizie manukato kupoteza ile harufu ya mtu mwingine...
Huna haja ya kumchunguza mwilini, wewe mkodolee macho tu utaona anavyojiuma uma...