SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 648
Mfano hayo majengo yote unaona kila floor dari yake ina kauzio kwa nje ingawa hilo jengo jingine vizio vyake viliwekewa vyuma badala ya ukuta.Weka picha ya ukuta kando kando ya dari
Ni sawa, lakini ukuta wa nyumba unazuiaje mtu asimwage damu kwa kuanguka? Au ulikuwa hujasoma vizuri?Ndani ya bible, dari ni nyumba
So anaposema ukuta kando kando ya Dari yako anamaanisha, ukuta kuzunguka nyumba yako.
Niko tayari kurekebishwa.
Huko kuanguka, Bible haikumaanisha kuanguka kutoka juu ya kituNi sawa, lakini ukuta wa nyumba unazuiaje mtu asimwage damu kwa kuanguka? Au ulikuwa hujasoma vizuri?
Sent from my cupboard using mug
Pole sana ndugu yangu, dari siyo nyumba ila ni sehemu mojawapo iliyo kwenye nyumba unamokaa wewe.Huko kuanguka, Bible haikumaanisha kuanguka kutoka juu ya kitu
Mtu anaweza akaanguka tu hapo kutokana na sababu mbalimbali.
Huo mjengo ulikuwa ghorofa sio kitotoHili fungu linanithibitishia kwamba dari......
“Ikawa wakati wa jioni, Daudi akaondoka kitandani, akatembea juu ya dari ya jumba la mfalme; na alipokuwa juu ya dari aliona mwanamke anaoga; naye huyo mwanamke alikuwa mzuri sana, wa kupendeza macho.”
— 2 Samweli 11:2 (Biblia Takatifu)
"Dari" ni noma kweli aisee
Sent from my cupboard using mug
Kwa kithungu ni 'Roof on your head'Ndani ya bible, dari ni nyumba
So anaposema ukuta kando kando ya Dari yako anamaanisha, ukuta kuzunguka nyumba yako.
Niko tayari kurekebishwa.
“Kijana mmoja, jina lake Eutiko, alikuwa ameketi dirishani, akalemewa na usingizi sana; hata Paulo alipoendelea sana kuhubiri, akazidiwa na usingizi wake akaanguka toka orofa ya tatu; akainuliwa amekwisha kufa.”Huko kuanguka, Bible haikumaanisha kuanguka kutoka juu ya kitu
Mtu anaweza akaanguka tu hapo kutokana na sababu mbalimbali.
Fence wall?Ndani ya bible, dari ni nyumba
So anaposema ukuta kando kando ya Dari yako anamaanisha, ukuta kuzunguka nyumba yako.
Niko tayari kurekebishwa.
Fence wall?