siachi mwanangu kwa mwanaume ng"ooooo, yani uchungu mie ndo naujua vizuri na utamu wa mtoto naujua vizuri halafu nimwachie mwanaume mtoto... hapana kwa kweli wanangu siwaachi naondoka nao. hapo bora ile free mariage kila mtu kivyake ila tulee watoto.