Mkuu matokeo yametoka juzi, ila huyu ndo kabaki tayari. Tuvumilie ingizo jipya mtaani.
We jamaa hueleweki, unataka upewe uzoefu wa 'Mgeni anayekomba mboga? au unataka uzoefu wa 'Jirani anaye mkomba mkeo?'Mfano,unaishi sehemu umepanga,ila jirani yako akaanza kumtongoza mke wako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu matokeo yametoka juzi, ila huyu ndo kabaki tayari. Tuvumilie ingizo jipya mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app