"Utakuaje na akili wakati huna pesa Wala gari Kali"? - Mwamba Bilionea Chief Godlove

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Unakuta mtoto wa kiume naye anafurahia eti kisa gari zangu kuchukuliwa, unafurahia anguko la mwanaume mwenzio?!

Ni Bora Mimi nimewahi kumiliki hizo gari, wewe je? Kama gari zimechukuliwa ila akili niliyo itumia kupata gari hizo nimebaki nayo hivyo nitaitumia pia kurudisha zaidi ya hizo.

Unajiita una Akili Wakati Huna Pesa Wala Gari, hizo akili Zina kusaidia Nini kama siyo Upumbavu.

Mwamba Bilionea Chief kaongea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ninamashaka na matraco yake, huenda yameshapapaswa na kupakwa mafuta ya upako.
 
Nasoma koment tu πŸ˜‚

Ila habari ikufikie maskin mliokua mnafurahia kuchukuliwa kwa gari zake...gari zimefika kwa mwenyewe ambaye ndio yeye πŸ˜‚
 
Aibu nyingine ni za kujitakia yeye mwenyewe kwaajili ya kuonesha maigizo ya utajiri ya kijinga!, bora kumiliki 100 yako ya halali kuliko 10000 ya mateso kiasi hicho.
 
Mtuache tuishi kwa amani. Jana tu tulikuwa tunashangilia. The world is not fair. Sasa hivi tunamuombea agongewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…