Utakubaliana na ndoa ya ukoo huu wa mastaa

Utakubaliana na ndoa ya ukoo huu wa mastaa

Waziri wa madini

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
379
Reaction score
466
Ndio umekuja kuposwa na familia yenyewe ndio Kama hiyo unavyoiona.
Mume mwijaku.
Dada ake nyawana wa kwenye mama kimbo.
Kaka ake Steve nyerere.
Shangazi yake riyama Ali dada wa michambo.
Wajomba zake tini white na mkojani.
Rafiki zake haji manara na kipunje.
Baba ake mzee korongo.
Mama ake mama suzi wa kwenye juakali .
Je utakubali kuolewa?
GridArt_20220509_150714227.jpg
 
Back
Top Bottom