Utakufa hujawahi hata kupanda ndege

Mh sasa itakuwaje

Mbona kila siku mnatusakama jamani
 
Tungepanda ila serikali yetu itaki kukubali ushindani ndani ya nchi yetu.
kama kila mkoa ungekuwa na kiwanja kizuri na kampuni kibao lingekuwa jambo la kawaida.
kwa vile tushaweka kwenye kundi la anasa kama bando
 
Ukifa - umekufaa tu... Maiti hazina ushindani ipi ilifanya kipi zote saresare.
 


Bhalaa Hili

By Sheikh Hillary Kipoozeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…