SoC03 Utakufa! Nitakufa! Tutakufa! Maisha mapito duniani tuishi na watu vizuri

Stories of Change - 2023 Competition

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
1,834
Reaction score
4,161
Maisha ya sasa duniani yamekuwa kama uwanja wa vita. Binadamu tumeendekeza maisha ya duniani na kujijengea himaya zetu kana kwamba tutaishi milele.

Hebu jaribu kutafakari visa vinavyotokea kila siku;

Mauaji ya kinyama kwa kulipiza visasi.
Wizi wa mali ulikithiri ( especially kwa viongozi wa serikali)
Unyanganyi wa kutumia silaha (ujambazi n.k)
Kutokosamehe na kusahau.
Ulawiti.
Ubakaji.
Fitna kazini.
Uonezi bila sababu.
Visasi.
Uongo.
Dharau.
Tamaa.
Usaliti.
Sifa zilizopitiliza.
Uchu wa madaraka.
Uvivu uliopindukia kwenye jamii zetu ( kutaka vya Bure)n.k.

Unakaa unajiuliza, matendo yote haya ni kwamba maisha ya duniani ni permanently?. Hata uwe na mabavu kiasi gani, naamini duniani ni sehemu ya mapito tu.

MAMBO MUHIMU YA KUJIFUNZA.

Hutaishi milele( kifo hakiepukiki)
Hutaondoka na kitu, utaondoka peke yako.
Madaraka ni sehemu ya maisha, heshimu watu.
Dharau sio mtaji, ondoa vinyongo na watu.
Kuua sio dili, kwani nawe utakufa.
Sifa za duniani ni za muda, kwani hutaondoka nazo.
Maisha sio leo tu, hata kesho yapo.
Usiposamehe kwa kukosewa, nawe utasamehewa.
Uvumilivu ni msingi wa maisha ya duniani, kwani tunaishi kwa kuvumiliana ( ubinadamu ni kazi).
Jifunze kunyamaza, kwani kunyamaza ni tiba nzuri kwa adui na wasio maadui.
Sio kila unaloambiwa ni kweli, jaribu kutafuta chanzo halisi cha ukweli.
Tamaa iliyopitiliza ni mbaya, chunga tamaa mbaya.
Sio kila fitna ni mbaya kwa mtu, zingine huongeza ngazi za mafanikio.
Usisononeke kwa vitu vya watu, kwani kila mtu anafungu lake duniani.
Pesa sio kila kitu duniani, walikuja, wakazitafuta, wakazipata, wakaziacha.
Bora uamini kama YUPO, kuliko kutoamini ukaenda ukamkuta amekaa pale....

KUMBUKA;

Maisha ni mapito, utapita, wengine watakuja na kupita. Ishi na watu vizuri.

Mwisho; NAOMBA KURA YAKO, USIPITE BILA KUGONGA KITUFE CHA KIJANI KWENYE NENO VOTE.

Asante sana.
 
Upvote 20
Siyo kwamba tutakufa tu, bali tukifa tunaenda kuhukumiwa kwa kadiri ya matendo yetu

Kula chuma hiyo

Thanks
 
Maisha yamekuwa mafupi sana. Unaweza usisamehe kumbe na wewe kesho ndo bye byee
 
Maisha ya sasa duniani yamekuwa kama uwanja wa vita. Binadamu tumeendekeza maisha ya duniani na kujijengea himaya zetu kana kwamba tutaishi milele.

Hebu jaribu kutafakari visa vinavyotokea kila siku;

Mauaji ya kinyama kwa kulipiza visasi.
Wizi wa mali ulikithiri ( especially kwa viongozi wa serikali)
Unyanganyi wa kutumia silaha (ujambazi n.k)
Kutokosamehe na kusahau.
Ulawiti.
Ubakaji.
Fitna kazini.
Uonezi bila sababu.
Visasi.
Uongo.
Dharau.
Tamaa.
Usaliti.
Sifa zilizopitiliza.
Uchu wa madaraka.
Uvivu uliopindukia kwenye jamii zetu ( kutaka vya Bure)n.k.

Unakaa unajiuliza, matendo yote haya ni kwamba maisha ya duniani ni permanently?. Hata uwe na mabavu kiasi gani, naamini duniani ni sehemu ya mapito tu.

MAMBO MUHIMU YA KUJIFUNZA.

Hutaishi milele( kifo hakiepukiki)
Hutaondoka na kitu, utaondoka peke yako.
Madaraka ni sehemu ya maisha, heshimu watu.
Dharau sio mtaji, ondoa vinyongo na watu.
Kuua sio dili, kwani nawe utakufa.
Sifa za duniani ni za muda, kwani hutaondoka nazo.
Maisha sio leo tu, hata kesho yapo.
Usiposamehe kwa kukosewa, nawe utasamehewa.
Uvumilivu ni msingi wa maisha ya duniani, kwani tunaishi kwa kuvumiliana ( ubinadamu ni kazi).
Jifunze kunyamaza, kwani kunyamaza ni tiba nzuri kwa adui na wasio maadui.
Sio kila unaloambiwa ni kweli, jaribu kutafuta chanzo halisi cha ukweli.
Tamaa iliyopitiliza ni mbaya, chunga tamaa mbaya.
Sio kila fitna ni mbaya kwa mtu, zingine huongeza ngazi za mafanikio.
Usisononeke kwa vitu vya watu, kwani kila mtu anafungu lake duniani.
Pesa sio kila kitu duniani, walikuja, wakazitafuta, wakazipata, wakaziacha.
Bora uamini kama YUPO, kuliko kutoamini ukaenda ukamkuta amekaa pale....

KUMBUKA;

Maisha ni mapito, utapita, wengine watakuja na kupita. Ishi na watu vizuri.

Mwisho; NAOMBA KURA YAKO, USIPITE BILA KUGONGA KITUFE CHA KIJANI KWENYE NENO VOTE.

Asante sana.
Good
 
MAMBO MUHIMU YA KUJIFUNZA.

Hutaishi milele( kifo hakiepukiki)
Hutaondoka na kitu, utaondoka peke yako.
Madaraka ni sehemu ya maisha, heshimu watu.
Dharau sio mtaji, ondoa vinyongo na watu.
Kuua sio dili, kwani nawe utakufa.
Sifa za duniani ni za muda, kwani hutaondoka nazo.
Maisha sio leo tu, hata kesho yapo.
Usiposamehe kwa kukosewa, nawe utasamehewa.
Uvumilivu ni msingi wa maisha ya duniani, kwani tunaishi kwa kuvumiliana ( ubinadamu ni kazi).
Jifunze kunyamaza, kwani kunyamaza ni tiba nzuri kwa adui na wasio maadui.
Sio kila unaloambiwa ni kweli, jaribu kutafuta chanzo halisi cha ukweli.
Tamaa iliyopitiliza ni mbaya, chunga tamaa mbaya.

Imetunzwa;
Kwa ajili ya kumbukumbu
 
Unakuta watu wengine wanaombea wenzao wafe kana kwamba wao hawatakufa
 
MAMBO MUHIMU YA KUJIFUNZA.

Hutaishi milele( kifo hakiepukiki)
Hutaondoka na kitu, utaondoka peke yako.
Madaraka ni sehemu ya maisha, heshimu watu.
Dharau sio mtaji, ondoa vinyongo na watu.
Kuua sio dili, kwani nawe utakufa.
Sifa za duniani ni za muda, kwani hutaondoka nazo.
Maisha sio leo tu, hata kesho yapo.
Usiposamehe kwa kukosewa, nawe utasamehewa.
Uvumilivu ni msingi wa maisha ya duniani, kwani tunaishi kwa kuvumiliana ( ubinadamu ni kazi).
Jifunze kunyamaza, kwani kunyamaza ni tiba nzuri kwa adui na wasio maadui.
Sio kila unaloambiwa ni kweli, jaribu kutafuta chanzo halisi cha ukweli.
Tamaa iliyopitiliza ni mbaya, chunga tamaa mbaya.

Imetunzwa;
Kwa ajili ya kumbukumbu
Sawa mkuu
 
Leo kuna mzee maarufu amefariki mtaani kwetu. Alidhulumu mali za watu, aliua ila leo naye amekufa. Ameacha Mali kibao, amekufa tu ugomvi umeanza.
 
Tusisahau kujiwekea hazina ya maisha baada ya kufa ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom