Na pia wamo "Watanganyika na Watanganzibar!; Hii rasimu ya katiba itawaanika wote hawa waliotabiriwa na babu yangu Nyerere.
Mimi shida yangu ni utitiri wa hawa maraisi!...Tunahitaji raisi wa shirikisho halafu hao wengine wawe mawaziri wakuu!..Waziri mkuu wa Tanzania bara na Waziri mkuu wa Zanzibar. Hawa ndio wawe watendaji wakuu katika hizi inji mbili. Maraisi watatu hawa kwanza watusababishia foleni bure!.
Umeona eeeeh!!!, hii ni sawasawa na mkuu wa nchi kuogopa kutamka kuwa serikali haina dini,Hakuna nchi itwayo tanzania bara
Umeona eeeeh!!!, hii ni sawasawa na mkuu wa nchi kuogopa kutamka kuwa serikali haina dini,
Hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara, mimi ni MTANGANYIKA, tuheshimiane tafadhali!!!!!!!!.
Mkuu punguza munkari kidogo!