Elections 2010 Utakuwa Rais bila bila kuwa na mawakala?

Elections 2010 Utakuwa Rais bila bila kuwa na mawakala?

Mwanzo

Member
Joined
Sep 6, 2010
Posts
10
Reaction score
0
Waheshimiwa wana wa nchi , tukiwa tumebakiwa na siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu, naomba nitoe mshangao wangu mkuu ambao najua wengi utawashangaza pia.

wote wenye matumaini ya kuwa Slaa atakuwa Rais wa nchi hii wanaweza amini nikisema kuwa Chadema haijaweka mawakala katika vituo zaidi ya 100 kwa mkoa wa Tabora pekee? na baada ya hapo mseme CCM imeiba kura au? anayetaka nitaje kata ambazo hazina mawakala wa CHADEMA aseme na hii ni kwa mkoa wa tabora tu sijui mikoa mingine acheni kudanganyika kuing'oa CCM ni shughuli pevu.
 
Itakuwa maafa ccm ikirudi madarakani-Dr W P Slaa..
 
Back
Top Bottom