Utalii kenya kupaa kwa kuzindua Starlink

Utalii kenya kupaa kwa kuzindua Starlink

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Nimekuwa nikifatilia kwa makini harakati za Kenya kuipatia vibali kampuni ya Starlink kuanza kufanya kazi nchini humo, mwaka huu mtandao wa Starlink utaanza kufanya kazi. kwa masikitiko makubwa sijasikia lolote kutoka TCRA tangu mara ya mwisho kusikia kampuni hio kuomba vibali.

Nashangaa kwa nini watanzania tunasua kutoa vibali wakati technologia ya Starlink iko poa sana na shughuli za utalii.

Sasa tunabaki nyuma kwa mara nyingine tena.
 
Back
Top Bottom