julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Leo katika pita pita nimeiona meli ya Zandaam imetia nanga pale bandarin. Nahisi ndio maana nimeona wageni weng weng posta wanazunguka zunguka mjini.
Dar es salaam ni mji mkongwe kwa maaana ni jiji la kihistoria lenye utajri wa malikale za kihistoria. Kinachoumiza majengo meng hayana vibao wala maelezo yoyote yale.anza hapo court appeal.ile ina historia mzee mohamed huenda anaijua nafikri ilikua ni german officers hotel.majengo meng mgen akija anaishia kushangaa bila kuwa na vibao ambavyo vitampa mgen historia.
Dar es salaam hasa hasa huu ubaz wa kuanzia kivukoni ocean raod mpka posta yote historia tupu.
Njoo hapo feri upande wa kigambon pale mnara wa mjeruman wa kuongozea meli umekaa tu umejaaa mateja
Tusiwaache marasi hawa wakawa wanatoa tu historia bila kuwa verified. Tuunge mkono juhudi ambazo zimeletwa na matunda ya royal tour.