cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Actor, producer, songwriter na rapper Will Smith wa Marekani ametua nchini Tanzania kutalii.
Magazeti na wanahabari wa kwa luninga etc mnatia aibu nchi yetu. (kama ulionyesha or kuandika hata kuanzia online basi siku..
Na serikali kitengo cha utalii na nyie mnatia aibu. JE mnasubiri pesa za wananchi muende ulaya kufanya blah blah blah eti kutangaza Tanzania, wakati wenye majina makubwa wanaingia nchini na kutoka kama vile hampo. Kwa masoko mko chiniiii, hata kuwa na ukaribu na makampuni ya kutembeza watalii wakawapa habari za wageni wao mjue mapema mpo tu. Na nyie muitangaze nchi kupitia hao ambao hamuwalipi wakija. Bloggers nao vile vile wengi wanasubiriana tu kwenye habari
Wengi wanakuja na kuondoka, wa nje wakisema walitembelea Kenya tu msimlaumu mtu.
Na mapaparazi muache udaku wa habari asubuhi jioni udaku usioletea faida nchi yetu.
Kwa kutua na hiyo ndege inaonyesha katokea kule au?