Utalii TZ- Actor Will Smith yupo Tanzania kutalii kutokea USA

cocochanel

Platinum Member
Joined
Oct 6, 2007
Posts
27,885
Reaction score
76,043
Actor, producer, songwriter na rapper Will Smith wa Marekani ametua nchini Tanzania kutalii.

Magazeti na wanahabari wa kwa luninga etc mnatia aibu nchi yetu. (kama ulionyesha or kuandika hata kuanzia online basi siku..

Na serikali kitengo cha utalii na nyie mnatia aibu. JE mnasubiri pesa za wananchi muende ulaya kufanya blah blah blah eti kutangaza Tanzania, wakati wenye majina makubwa wanaingia nchini na kutoka kama vile hampo. Kwa masoko mko chiniiii, hata kuwa na ukaribu na makampuni ya kutembeza watalii wakawapa habari za wageni wao mjue mapema mpo tu. Na nyie muitangaze nchi kupitia hao ambao hamuwalipi wakija. Bloggers nao vile vile wengi wanasubiriana tu kwenye habari

Wengi wanakuja na kuondoka, wa nje wakisema walitembelea Kenya tu msimlaumu mtu.

Na mapaparazi muache udaku wa habari asubuhi jioni udaku usioletea faida nchi yetu.






Kwa kutua na hiyo ndege inaonyesha katokea kule au?
 
Vyombo vya habari vya Egypt vime-cover sana safari Will Smith nchini humo na wamechukulia kama fursa za kutangaza utalii, I wonder asubuhi utakuta hakuna hata gazeti moja la Kitanzania limeandika juu ya ujio wa legendary huyo.
 
Acha ushamba dogo utakuwa mtumwa mpka lini ?kwani watanzania wanatangazwa wapi wakipiga tuor tumtangaze ili iweje tunatangaza vivutio vya utalii yeye ni mtu wakawaida tu kama wewe haina haja kumtangaza kama dunia inamjua yeye ndo anawajibu wakutangaza kilichomvutia tz
 
 
Ana watu wanaomuangalia weng tena duniani kwa hapo ni kwl tulikosea siyo mtu wa kawaida mkuuu mbona hivi usiniangushe loooo ss ni magreat thinkers!
 
Kwan yy ni nan mpaka tumtangaze kwenye runinga zetu? Wamekuja akina billigate tajir wadunia akina jennifer Lopez, na umaaruf wao hata hatukuwa na habar nao sembuse huyu negro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…