UTALII

UTALII

Alfris

Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
6
Reaction score
9
Jamii Formums, mwaweza kuweka pia jukwaa la masuala ya utalii.
Ninaandika kuhusu sehemu inayoitwa Chemka, Hot spring iliyopo Hai, Boma ng'ombe huko moshi. Kiingilio kwa mtu mmoja ni elfu 5, wakati mwingine inapanda kwa kadiri ya msimu.
Hoja yangu ni kuhusu uchafu na uchakavu wa vyoo vyao, na ubaya wa barabara ya kwenda huko. Sijui kama kuna chanzo cha kutambulika cha kupokea mapato yao, ama ni mali ya mtu binafsi. Sikukumbuka kupiga picha, ila vyoo vyake havilingani na hadhi ya eneo la kitalii.
 
Huu uzi wako bila ya kuweka picha utakuwa hauna maana,kingine bado hujaeleweka,inatakiwa maelezo ya vyoo kwenye maeneo ya utalii au habari zinazohusu shughuli za utali...?
 
Back
Top Bottom