Habari zenu wakuu ndani ya sakafu hii tukufu ya JF
Jamani mimi naombeni mnisaidie kuhusu kulinda wazo langu la bishara ambalo nategemea kuwauzia benki, na je nitumie sheria au njia gani kulilinda kutokana na kuibiwa wazo zima au sehemu ya wazo hilo la biashara?
ni kipi natakiwakufanya kiasi kwamba nitako peleka hilo wazo na ikiwa watalitumia bila ya kunilipa basi niwe na uwezo kuwashtaki