Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Utalipia Dola $220 kwa ajili ya Simu mpya Toka Tecno Camon 40 Pro
Kwenye events ya MWC 2025 kampuni ya Tecno iliweza kuonyesha matoleo mbalimbali ya Simu zao mpya lakini kilichonivutia zaidi ni hii Tecno Camon 40 Pro !!!!
Leo nakueleza kwa ufupi kuhusu specs na Teknolojia yake ya AI Sio mchezo!!
โกMediatek Helio G100 Ultimate(6nm)
๐ฏ๏ธ6.78 inch AMOLED 120Hz Screen
๐ธ 50MP SONY Camera + FlashSnap for instant photography
๐๏ธ Storage: 256GB ROM + 8GB RAM (Extendable RAM)
๐๏ธ IP68/69 water and dust resistance
โ๏ธ 5200mah battery (1800 charge cycle)
๐ 45W Charging + Android 15 (HIOS 15)
Ukitumia hii simu Ina Akili bandia inaitwa Ella Ina Fanya kazi nyingi sana Akili bandia hii ikiwemo kukusaidia automatiki sehemu zenye kelele kukuondolea wakati unazungumza na simu na kukufanya kuwa comfortable kutumia simu mahali popote.
Sio hivyo TU inakupa uwezo wa kuondoa kitu chochote usichokipenda kwenye Picha au video yako na kuifanya kuwa Best AI kwa mwaka 2025, bila kusahau msaada kwenye ku summarize, editi, na tools images kupitia Akili bandia ya Ella.
Kwenye Kamera sasa ni balaa inapiga picha mazingira yoyote Yale iwe ndani ya maji , nchi kavu, usiku au mchana inatoa picha zilizo na ubora wa hali ya juu bila kumuathiri mpigaji na mpigwa picha.
Sio hapo TU unaweza tumia simu hii kurekodi video mpaka ya lisaa limoja ukiwa chini ya maji ikiwa na IP68 kama wewe ni diver, content creator usijali kuhusu mvua inafanya kazi popote na mazingira yoyote kwenye m
vua na vumbi kali.