Utamaduni viongozi kuwajibika umeishia wapi? Mbona Mwinyi mauaji Mwanza aliwajibika? Tusiruhusu madoa haya ya damu kuichafua nchi yetu -Wajibikeni!

MTU dhalimu kama wewe lazima utetee udhalimu na dhuluma kwa sababu una maslahi navyo.
 
Ni kweli mkuu hata yule mkurugenzi wa SECRET SERVICE alionewa tu kujiuzulu! Wakati aliyejaribu kum-assaccinate Trump ni muhuni tu ASIYEMPENDA Trump.

Yaani Congresses walimkomalia AJIUZULU Utadhani Mkurugezi alihusika yule mtoto wa miaka 20 kujaribu kumua Trump. Masauni hana kosa Abadan, wala IGP maana hawahusiki.
 
Asante sana kwa bandiko hili ndugu Pascal Mayalla, kada na mwandishi wa habari mbobevu.

Inashangaza sana. Lkn pengine ccm inaweza kuchukua ushauri wako kwakuwa wewe ni mwenzao.
 
Unamfananisha Mwinyi na huyu mchumia tumbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…