Utamaduni wa kiafrika ndio utamaduni bora zaidi duniani na unaoendana na matakwa kamili ya Mwenyezi Mungu kwani unazingatia maadili mema na upendo miongoni mwa jamii. Ni muda sasa tuubadili utamaduni wetu kuwa dini kama waarabu walivyofanya utamaduni wao kuwa dini.
l.kphx.net