mtatifikolo
Member
- Feb 9, 2008
- 43
- 7
Ninakumbuka miaka ya nyuma kulikuwa na mashindano kati ya shule kwenye Hisabati. Ninakumbuka tulienda hadi Kilimanjaro hotel kushindana kimkoa. Leo hii utamaduni wa ushindani Tanzania upo katika "U-miss" na "uimbaji"
Kwa level za chini nadhani sio mbaya kukawa na mashindano kama haya ya kubonyeza kitufe na kuwahi kupayuka 'majibu'.
Lakini ktk level ya Varsity watu wanapaswa kupimwa kwa academic researches, sio kupayuka majibu. Kupayuka majibu sio uresearcher.
Nakumbuka kuna mkenya mmoja hapa JF alikuwa akijivunia eti wakenya wana elimu nzuri kuliko sisi eti tu kwa sababu ya Challenge ya Zain ya kupayuka majibu na kubonyeza kitufe. Nilimsare kwa sababu ni walewale hajui kuwa hajui.