Utamaduni wetu ndio adui yetu

Utamaduni wetu ndio adui yetu

Wakukaya2

Member
Joined
Apr 26, 2023
Posts
75
Reaction score
87
Nawasalimu ndugu zangu, nimekuwa kama msomaji wa hili jukwaa kwa miaka kumi Sasa, na Leo nikaona Bora niwe mwanachama, namimi walau kwa uchache wa uelewa wangu nitoe mchango wangu.

Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema “we become adapted to the lack of use of our basic human resources as a results responding by becoming unfamiliar to us”. Huu msemo ni sawa na kusema Ile Law of use and disuse of some organ.

Basic human resources ni nyingi na kwa bahati mbaya vijana wenyewe wa kitanzania tulio wengi hatuzijui hivyo kama hatuzijui hatuwezi kuzitumia na Zina disappear. Wengi tumekuwa tukikimbilia kusingizia kila jambo kuwa mtaji ndio tatizo, lakini kwangu Mimi unaweza kuanza na zero ukawa hero.

Tupo mitandaoni muda wote kulaumu Serikali wakati Serikali ni sisi na inatoka na sisi, ni watu wanaongoza hiyo serikali sio wanyama, sisi tukiwa wabovu unategemea vipi serikali iwe na maadili? Itakuwa ni ajabu.

Lead yourself before you lead others. Lakini kama unashindwa kujiongoza mwenyewe huwezi ongoza familia yako, na hali kadhalika huwezi ongoza inchi. When people complain opportunity comes.
 
Lead yourself before you lead others.
Hii ni theory tuu,
Uhalisiani kuwa Wazee wetu wa jadi hawakumuacha mtu kuwa Kiongozi kwa utashi tuu, bali kiongozi alijionesha tokea udogoni kwake na uwezo wake ulionekana na kila mtu.
hapo ndio Wazee walimteua kuwa kiongozi wa wengine bila kuhitajika Kura wala Uchaguzi..Matende yake yalikubaliwa na kila mwana Kaya.
Leo Tofauti sana, Ukijuwa kupiga Bla bla katika Chama Fulani na kujipendekeza kwa wakubwa na pengine fanye yasiyokubalika kijamii kwa siri , hapo wewe ndio wewe .
Utavishwa Pete ya Kifungo na Utakuwa kiongozi wa watu.
 
Mkuu....
Kwanza karibu sana hapa jamvini, lakini pia ebu kunjua nafsi ulikua unamaanisha nini labda...🤔 alafu una taarifa kuhusu yalio tokea kwa afisa ugavi huko Geita...??
 
Back
Top Bottom