Utambulisho/Hodi

Utambulisho/Hodi

WABUSH

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
285
Reaction score
4
Shikamoo mabibi na mabwana

Ninayofuraha kujitambulisha kwenu. JF is a greate and intertaining forum
 
marhaba...hujambo?....karibu

hiyo avatar yako!!!!!!
 
Bado haijashinda yako lakini!
 
Best karibu naona umeingia kama mzoefu, na avatar? Nimeifananisha kama ya jamaa mmoja hapa jamvini. Karibu!
 
Mh.. Niliipat somewher kama ndivyo nitaibadili nicje mlipia deni mtu, mjini hapa
 
Mh.. Niliipat somewher kama ndivyo nitaibadili nicje mlipia deni mtu, mjini hapa

Wala usitie shaka mkuu uwe huru tu manake hakuna mwenye hati na haki miliki ya avatar hapa jamvini. Just enjoy. Cheers!
 
Shikamoo mabibi na mabwana

Ninayofuraha kujitambulisha kwenu. JF is a greate and intertaining forum


Kura za Jamvini umeshiriki?

Sitaki kujua umemchagua nani, lakini nitajua tu nitakapokuwa nikisoma nyuzi zako.
 
Oh yes, ilikuwa my first attempt kabla ya chochote! Na mie sitaki kujua ulimpigia nani but I can deduce... huhitaji kuwa "Dibia" katika hili I suppose
 
Back
Top Bottom