Utambulisho kwa JF

Haruna Malima

Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
56
Reaction score
7
Hi JF! Najifunza kutembea nikipasua vyombo msishangae. Kichanga hachapwi. HODI Wana JF!
Eti kuna Changu-utumishi badala ya Changudoa?
 
hodihodi kwa wenye mji.Ndo kwanza natambaa mwenzenu, nikikwangukia naomba uniinue......usinisukumize kwa teke ntashindwa tembea kama nyie
 
hodihodi kwa wenye mji.Ndo kwanza natambaa mwenzenu, nikikwangukia naomba uniinue......usinisukumize kwa teke ntashindwa tembea kama nyie

Mramba unacheza faulo....piiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Lakini hatutakutoa nje kwa vile ndo unaingia kwenye gemu
Unatakiwa uanzishe thread yako , na si kudandia kwa mwenzio anayejitambulisha, sawa mwanangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…