Deghe Mangae Senior Member Joined Mar 3, 2020 Posts 171 Reaction score 149 Mar 12, 2020 #1 Mimi niwashukuru JF wote kwa kunikubali Kujiunga na jamii hii yenye uwelewa mpana najua wazi ni mengi nitajifunza Hivyo naomba niwashukuru mno Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niwashukuru JF wote kwa kunikubali Kujiunga na jamii hii yenye uwelewa mpana najua wazi ni mengi nitajifunza Hivyo naomba niwashukuru mno Sent using Jamii Forums mobile app
Okoth p'Bitek JF-Expert Member Joined Jan 11, 2019 Posts 1,124 Reaction score 1,384 Mar 12, 2020 #2 Rekebisha kichwa cha habari kabla hawajaja.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 35,812 Reaction score 107,628 Mar 12, 2020 #3 Karibu sana mzee..Je unapigania tume huru ya uchaguzi au janja janja FC wazee wa bao la mkono. Karibu utufunze pia tusioyajua
Karibu sana mzee..Je unapigania tume huru ya uchaguzi au janja janja FC wazee wa bao la mkono. Karibu utufunze pia tusioyajua
Okoth p'Bitek JF-Expert Member Joined Jan 11, 2019 Posts 1,124 Reaction score 1,384 Mar 12, 2020 #4 Kwani john snow na wewe unapigania tume huru?
LIKE JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 4,755 Reaction score 9,889 Mar 12, 2020 #5 babu vua hiyo miwani upate kutambulika sura na scanner za JF na usipende kuazima mawani,kuna Corona ni hatari una vitukuu/vilembwe wangapi? Sent using Jamii Forums mobile app
babu vua hiyo miwani upate kutambulika sura na scanner za JF na usipende kuazima mawani,kuna Corona ni hatari una vitukuu/vilembwe wangapi? Sent using Jamii Forums mobile app
M MakaDik JF-Expert Member Joined May 31, 2019 Posts 239 Reaction score 136 Mar 13, 2020 #6 Asante Kushukuru! Tuliza Ball Angalia Mahali Pa Kuelekeza Pasi JF isonge mbele. kuwa mtulivu epuka kukurupuka. let's go
Asante Kushukuru! Tuliza Ball Angalia Mahali Pa Kuelekeza Pasi JF isonge mbele. kuwa mtulivu epuka kukurupuka. let's go
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Mar 13, 2020 #7 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Mar 13, 2020 #8 Pooowa