K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 208 Mar 19, 2009 #1 Wapendwa katika Janvi, napenda kujitambulisha kwenu ili nami niweze kuwa miongoni mwenu katika jamii hii ya watu wenye akili na talenti mbalimbali.
Wapendwa katika Janvi, napenda kujitambulisha kwenu ili nami niweze kuwa miongoni mwenu katika jamii hii ya watu wenye akili na talenti mbalimbali.
Ibrah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2007 Posts 2,730 Reaction score 530 Mar 19, 2009 #2 kYACHAKICHE, karibu sana Mkuu. Tunasubiri michango ya mawzo kutoka kwako kuhusu nyanja mbalimbali tuweze kulisaidia Taifa kupiga hatu mbele. Usisahau pia kuchangia JF kwa pesa ili kuiwezesha JF isonge mbele.
kYACHAKICHE, karibu sana Mkuu. Tunasubiri michango ya mawzo kutoka kwako kuhusu nyanja mbalimbali tuweze kulisaidia Taifa kupiga hatu mbele. Usisahau pia kuchangia JF kwa pesa ili kuiwezesha JF isonge mbele.
K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 208 Mar 19, 2009 Thread starter #3 Nashukuru sana mkuu
K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 208 Mar 19, 2009 Thread starter #4 Asante sana mkuu!
H Haika JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,347 Reaction score 562 Mar 19, 2009 #5 Karibu ukumbini mwenzetu, tunasubiri mengi kutoka kwako kama ambavyo naamini pia umekuwa ukipata mengi kutoka kwetu.
Karibu ukumbini mwenzetu, tunasubiri mengi kutoka kwako kama ambavyo naamini pia umekuwa ukipata mengi kutoka kwetu.
C Chap Member Joined Mar 6, 2009 Posts 31 Reaction score 2 Mar 19, 2009 #6 Jamani na mimi naomba nitumie fursa hii kujitambulisha kwenu rasmi. Natumaini tutashirikiana vyema kuchangia mawazo
Jamani na mimi naomba nitumie fursa hii kujitambulisha kwenu rasmi. Natumaini tutashirikiana vyema kuchangia mawazo
kimatire JF-Expert Member Joined Nov 27, 2008 Posts 371 Reaction score 94 Mar 19, 2009 #7 CHAP mbona umefanya chap chap kujitambulisha mgongoni mwaKyachakiche kwani mliagana kujiunga pamoja?Hebu fungua ukurasa wako basi uombe ruhusa.Mwombe Mode akuelekeze mlangoni.
CHAP mbona umefanya chap chap kujitambulisha mgongoni mwaKyachakiche kwani mliagana kujiunga pamoja?Hebu fungua ukurasa wako basi uombe ruhusa.Mwombe Mode akuelekeze mlangoni.
K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 208 Mar 19, 2009 Thread starter #8 Siyo vibaya na mimi nikakukaribisha mh Chap, kwani nimekutanguila kidogo jamvini.
C Chap Member Joined Mar 6, 2009 Posts 31 Reaction score 2 Mar 19, 2009 #9 KIMATIRE Samahani sana kama umejisikia vibaya na mimi kujitambulisha pamoja na Kyachakiche Kwa tamaduni zetu sikujua kama ni vibaya watu kjitambulisha kwa pamoja KYACHAKICHE Nashukuru kwa ukaribisho wako
KIMATIRE Samahani sana kama umejisikia vibaya na mimi kujitambulisha pamoja na Kyachakiche Kwa tamaduni zetu sikujua kama ni vibaya watu kjitambulisha kwa pamoja KYACHAKICHE Nashukuru kwa ukaribisho wako
K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 208 Mar 19, 2009 Thread starter #10 kimatire said: CHAP mbona umefanya chap chap kujitambulisha mgongoni mwaKyachakiche kwani mliagana kujiunga pamoja?Hebu fungua ukurasa wako basi uombe ruhusa.Mwombe Mode akuelekeze mlangoni. Click to expand... Mkuu Kimatire, si unajua ugeni tena. Nafikri msaada wako utakuwa umemsaidia CHAP kwani hatukuagana kujiunga pamoja.
kimatire said: CHAP mbona umefanya chap chap kujitambulisha mgongoni mwaKyachakiche kwani mliagana kujiunga pamoja?Hebu fungua ukurasa wako basi uombe ruhusa.Mwombe Mode akuelekeze mlangoni. Click to expand... Mkuu Kimatire, si unajua ugeni tena. Nafikri msaada wako utakuwa umemsaidia CHAP kwani hatukuagana kujiunga pamoja.
R REOLASTON Member Joined Feb 24, 2009 Posts 71 Reaction score 5 Mar 19, 2009 #11 Karibu mkuu. tunasubiri mchango wako.