Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie shemeji zangu mnaongoza.........dada yenu hataki nikae hapa sana kuna mavitu anayakosa....nikitoka hapa nakuwa na hasira mpaka nashindwa kumpa haki yake...Karibu sana!! Nina wasi wasi utapata addiction na hii kitu, sisi wengine hushinda humu!
Nabisha hodi na nawapa heshima zenu Mabibi na Mabwana wa jamii forum. Napenda kujitambulisha kwenu kama MADENGE. Natumai tutazidi kuwa wote humu mtandaoni. ASANTENI
Karibu sana!! Nina wasi wasi utapata addiction na hii kitu, sisi wengine hushinda humu!
Nyie shemeji zangu mnaongoza.........dada yenu hataki nikae hapa sana kuna mavitu anayakosa....nikitoka hapa nakuwa na hasira mpaka nashindwa kumpa haki yake...
madenge karibu
Na nyie mmezidi mnataka ng'ombe mie naishi mjini hatufugi huku mjini......We dogo uko alosto ndo maana dada zetu hutapata kitu!!! Ama unataka Limbwata?
Na nyie mmezidi mnataka ng'ombe mie naishi mjini hatufugi huku mjini......
.......BTW Yanga kashinda.....