Utambulisho member mpya

R.P.G

Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
21
Reaction score
7
Hodi humu jamani,Mimi mgeni naomba kukaribishwa.
 
Na shida ya kuwa mwanachama wa jf
 
Ole wako ulete hoja za hovyo hovyo tunakotoa tunataka hoja zenye mashiko kwa maslahi mapana ya mama Tanzania
 
Karibu mgeni mwenzangu ila mbona unaingia na RPG??????
 
karibu mr rocket propelled grenade..
Angalia tu ucje tumika vibaya kulipua wasokuwa na hatia..
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…