Ufanikiwe mkuuMoja ya ndoto tatu nilizo nazo ni kuinunua JF
Hongera.Kama ilivyo mimi ni mgeni mwenyezi humu ndani.
Kama ilivyo kawaida yangu kila nikibadisha cheo hapo JF hua nakuja kujitambua tena.
Hivyo nilichelewa kujitambulisha ila JF mwenzangu kaniambia nifanye hivyo kama kawaida yangu kwa hiyo nipokeeni tena.
Kwa sasa ni verified member wa JamiiForums
Shukuru sana wakuu.
Kwako Toffy_boy nahisi utambulisho tayari
Wako Emmanuel Kasomi